Ta Ha 20:16 فلا يصدنك عنها من لا يومن بها واتبع هواه فتردى ١٦
فَلَا
يَصُدَّنَّكَ
عَنۡهَا
مَن
لَّا
يُؤۡمِنُ
بِهَا
وَٱتَّبَعَ
هَوَىٰهُ
فَتَرۡدَىٰ
١٦
Kwa hivyo asikukengeushe nayo yule ambaye haiamini na akafuata pumbao lake ukaja kuhiliki.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi asikuepushe, ewe Mūsā, na kukiamini na kujitayarisha nacho, asiyekikubali kuwa kitatukia na asiyetenda ya kumfaa huko na akayafuata matamanio ya nafsi yake na akakikanusha, kwani ukifanya hivyo utaangamia.
Basi asikuepushe, ewe Mūsā, na kukiamini na kujitayarisha nacho, asiyekikubali kuwa kitatukia na asiyetenda ya kumfaa huko na akayafuata matamanio ya …